Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na
wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao za uvuvi Ziwa Victoria, katika
kijiji cha Nyang’ombe kilichopo wilayani Rorya, Mkoani Mara.Katika ziara hiyo
Naibu Waziri aliambatana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala
ikiwa na lengo la udhibiti uhalifu na uingiaji wa kinyume na sheria kwa raia
kutoka nchi jirani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
|
No comments:
Post a Comment