Sunday, April 1, 2018

BARUA YA KITILA MKUMBO KWENDA KWA BARAZA LA MAASKOFU KUHUSU WALAKA WAO

Tokeo la picha la PROFESA KITILA MKUMBO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Dk Kitila Mkumbo amemwandikia barua Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Askofu Frederick Shoo akitoa maoni yake binafsi kwa kanisa hilo kuhusu maudhui ya waraka wa maaskofu wa kanisa hilo uliotolewa hivi karibuni.

No comments: