Msaidizi wa Huduma za Tigo,
Plasidia Jameson (kati) pamoja na Msaidizi wa Ubora wa Huduma za Tigo, Kejiya
Thangal (kulia) wakielezea baadhi ya huduma za Tigo kwa mfanyabiashara wa soko
la Mwenge, Dismas Msauthi (kushoto), hii ikiwa kwa nia ya kuboresha utoaji
huduma kama sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
|
No comments:
Post a Comment