Friday, October 12, 2012

WAREMBO WA REDD'S MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA NGORONGORO

 

Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2012,
wakiangalia maelezo mbalimbali na picha za Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro,
wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana na kujifunza na kujionea
mambo mbalimbali. Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 wapo Kanda ya Kaskazini
kwa ziara ya kuhamasisha Utalii wa Ndani

No comments: