.

HALI HALISI YA BIASHARA KATIKA STENDI YA UBUNGO

Wafanya biashara wa maji, Juicena Vitu mbalimbali bado wapo na hivi sasa ni kwa staili ya Myavuli huku wakiwa wamepanga bidahaa zao katika vimeza na mbao.
 

Aidha bomoa boamoa hiyo pia imeathiria abiria ambao baadhi walikuwa wakitumia vibanda hivyo vya wafanya biashara kujisitiri kwa Juan a mvua wakati ama wakisubiri usafiri au kusubiri wageni wao kutoka mikoani.

 

Father Kidevu Blog, imetembelea kituo hicho na kujionea hali halisi kama inavyoonekana katika picha hizi.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.