Thursday, February 28, 2013

HII NDIO KAULI YA SIMBA JUU YA UBINGWA MWAKA HUU



Post hii ni maalum kwa kauli ya Simba kuhusu uwezekano wa club hiyo kuchukua ubingwa.

Afisa habari Ezekiel Kamwaga amesema “ubingwa wa kimahesabu bado Simba inaweza ikatetea ubingwa wa Tanzania bara, kwenye raundi ya kwanza baada ya mechi nne kama sasa hivi… Simba ilikua inaizidi Yanga kwa pointi 8 lakini ligi ilipomalizika raundi ya kwanza Yanga iliizidi Simba kwa pointi 6, kwa hiyo kimahesabu bado Simba inaweza kutoka ilipo na ikaizidi Yanga kwa pointi na kuchukua ubingwa”

Pamoja na hayo Kamwaga amesema “ukiangalia katika mazingira ya kawaida kwa hali tuliyonayo sasa hivi ni vigumu sana kwa Simba kutetea ubingwa wake wa ligi kuu lakini kimahesabu inawezekana”

No comments: