WAWILI WAFA MAJI DARWatu wa wawili wasiofahamika wa jinsia ya kiume na ya kike wamekutwa wamekufa maji maeneo ya MBWENI katika manispaa ya KINONDONI Jijini Dar es salaam

 Akidibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni asp CHARLES KENYELA amesema Miili ya watu hao  imekutwa ikiwa inaelea kwenye maji ufukweni mwa bahari ya hindi siku ya jumanne tarehe 27.02.2013 mnamo saa 12;30 ikiwa  imearibika na baadhi ya viungo vikiwa havionekani

 Hata hivyo  amesema baada  askari kufika katika eneo hilo  walishindwa kuopoa miili hiyo baada ya maji kuwa mengi na jitihada za kuopoa miili hiyo bado zinaendelea

 

/YM                                   REPORTING

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.