TCRA YAIJIA JUU CLOUDS JUU YA KIPINDI CHA POWER BREAKFASTMamlaka ya mawasiliano tanzania TCRA imetoa onyo kali kwa vituo vitatu vya utangazaji ikiwemo radio clouds kwa kurusha matangazo yao kwa kukiuka kanuni za utangazaji tanzania

akizungumza na mkurugenzi wa nidhamu wa mamlaka hiyo amesema kuwa kituo cha clouds kilirusha matangazo katika kipindi chake cha POWER BREKFAST kinachoongozwa na JERALD HANDO   na kushabikia maswala ya ushoga jambo ambalo ni kinyume cha seria mamlaka hiyo imekifuta kipengele cha JICHO LA NGOMBE katika kipindi hicho.

radio nyingine zilizopewa onyo  KWA NEEMA RADIO NA IMANI RADIO kwa makosa ya kuchochea chuki za kidini katika vipindi vyao

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.