
Mwanaharakati kutoka katika Shirika lisilo la
kiserikali la Aisha Sururu Foundation na Diwani viti maalum katika Manispaa ya
ilala Mh, Aisha Sururu akiangalia baadhi ya vitabu vya wanafunzi vilivyoharibiwa
na Kimbunga kilicho ambatana na Mvua kubwa maeneo ya Majohe jijini Dar es Salaam
wakati alipofanya Ziara maeneo hayo

Bi Aisha pamoja na Baadhi ya viongozi wa kata
ya Majohe wakiangalia jinsi Upepo huo ulivyo athiri maeneo ya Kata
hiyo

Hapa kulikuwa ni Makazi ya Mtu lakini Upepo
umefanya paonekane kama ni Shamaba la kulimwa

Bi, Aisha Sururu akizungumza na waandishi wa
habari baada ya ziara hiyo
No comments:
Post a Comment