.

JIKUMBUSHE JINSI LIVEPOOL INAVYOMALIZA LIGI WA MBWEMBWE KWA KUILAZA NEW CASTEL 6 BILA JUZI JUMAMOSI


 

 

 


liver 7999c

Mfungaji wa mabao mawili ya Liverpool, Daniel Sturridge akimtoka mchezaji wa Newcastle, Jonas Gutierrez




 


liver2 95f6d



Jordan Henderson akishangilia bao lake la kwanza


liver3 7e366


Daniel akishangilia bao


 MSHAMBULIAJI Daniel Sturridge leo amevaa viatu vya Luis Suarez na kuendeleza vyema kampeni za Liverpool ikiifumua Newcastle ya kocha Alan Pardew mabao 6-0

 

Mshambuliaji huyo, ambaye alifiungia Chelsea kwenye Uwanja huo wa St James Park msimu uliopita, leo amefunga mabao mawili katika ushindi huo dakika za 50 na 64. Mabao mengine yalifungwa na Agger dakika ya tatu na Henderson dakika ya 17 na 76. Chanzo: Binzubeiry


 

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.