.

RAIS KIKWETE ALIPOONGOZA MARAIS WENZAKE KWENYE MKUTANO WA EAC HUKO ARUSHA MAPEMA JANA

Marais wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakisimama kwa dakika moja kumkumbuka aliyekuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Uganda Marehemu Eriya Kategaya wakati wa ufunguzi wa kikao cha kumi na moja cha Jumuiya hiyo jijini Arusha leo mchana. Katika Hoteli ya Ngurdoto.Kutoka kushoto Rais Wa Burundu Pierre Nkurunzinza,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakati wa ufunguzi wa kikao cha juu cha kumi na moja cha Wakuu wa nchi wa jumuiya ya Afrika Mashariki kilichofaniyka jijini Arusha.


Marais wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa kwenye kikao cha kumi na moja cha Jumuiya hiyo jijini Arusha leo.


Baadhi wa ajumbe walioshiriki ufunguzi wa kikao cha Juu cha kumi na moja cha Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(11th Extraordinary EAC Summit) kilichofanyika jijini Arusha(picha na Freddy Maro)

HABARI NA MAASINDA BLOG


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.