Thursday, April 18, 2013

MSIBA WA BILIONEA SAMBEKE HUKO ARUSHA VIGOGO KIBAO WAHUDHURIA,MAMBO YA MSOSI NI KUJICHITEA TUU HAIJAWAHI KUTOKEA ARUSHA





DSCF8833



Jamal Sambeke mtoto wa marehemu akifunga jeneza la baba yake mara baada ya watu mbalimbali kutoa heshima zao za mwisho nyumbani kwake njiro Themi Mkoani Arusha

DSCF8840
DSCF8828Waombolezaji wakibeba jeneza la Bilionea Babu na kuweka kwenye gari maalumu tayari kwa safari kuelekea Moshi kwaazishi

Watu wakitoa heshima za mwisho

DSCF8844
Watoto wa marehemu Sia na Getrude waliovalia nguo nyeupe

DSCF8834
Jamal akifunga jeneza la marehemu Babu Sambeke

DSCF8830
Jaji Aisha nyerere msibani pamoja na mkurugenzi wa kibo palace Vicent Laswai

DSCF8832


No comments: