Friday, May 24, 2013

HIVI UNAJUA KWANINI PROFESA JAY KAJIUNGA CHADEMA .SOMA HAPA


Mh Sugu,Profesa Jay na Mh John Mnyika  Dodoma.
Profesa Jay amesema yeye ni mwanaharakati muda mrefu na amejiunga na amejiunga na CHADEMA rasmi leo lakini yeye ni mfuasi wa Chama hicho muda mrefu kutokana na harakati zake za kutaka kuikomboa Tanzania.Profesa Jay alisema kuwa anapenda Tanzania Bora,na anaamini Chama cha Chadema kina muelekeo huo wa kuipeleka Tanzania kuwa Bora.Hiyo ndo maana ameamua kuchukua kadi ya chama hicho na si kwa nia ya kufanya Siasa ila ni kwaajili ya kuijenga Tanzania na kuendeleza harakati
 
 
KWA HISANI YA HABARI MPASUKO BLOG

No comments: