.

BALOZI WA TANZANIA AFRIKA KUSINI AFIKA MSIBANI KWA BABA MDOGO WA MANGWEA

    Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Radhia Msuya, akiweka saini katika kitabu cha maombelezo nyumbani kwa baba mdogo wa Marehemu Mangweha Mbezi Beach jijini Dar leo.

Balozi Msuya akimpa mkono wa pole mama mdogo wa Marehemu Mangweha, Ella Mangweha.
Balozi Msuya akibadilishana mawazo na mama mdogo wa marehemu.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa baba mdogo wa marehemu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi Adam Juma (aliyesimama) akisalimiana na balozi Msuya.
Balozi Msuya (katikati) akibadilishana mawazo na baba mdogo wa marehemu David Mangweha (kulia) na mama mdogo Ella (kushoto).

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.