.

HALI YA NELSON MANDELA INAELEZWA KUWA NI MBAYA SANA TUMWOMBEEHALI YA RAISI WA ZAMANI WA AFRICA YA KUSINI BADO INATAJWA KUWA MBAYA SANA KADIRI MUDA UNAVYOKWENDA NA WANANCHI WA NCHI HIYO BADO HAWAELEWI KINACHOENDELEA KWANI HALI YAKE IMEKUWA MBAYA NA SERIKALI IMEKAA KIMYA SANA BILA KUWAAMBIA WANANCHI WAKE NINI KINAENDELEA SASA

KATIKA TAARIFA NYINGINE ZINASEMA KUWA KUNA WOSIA UMEVUJA WA RAISI HUYO KWA TAIFA

MWANDISHI WETU AMBAYE ANAISHI NCHINI AFRICA KUSINI ANATUELEZA KUWA SERIKALI YOTE IMEPIGA KAMBI NYUMBANI KWAKE NA HOSIPITALINI ALIPOLAZWA HALI AMBAYO IMEWAPA WANANCHI WASIWASI KUWA HUENDA HATUPO NAYE TENA ILA SERIKALI BADO HAIJATAMKA LOLOTE HADI SASA

MWANDISHI WETU ANAZIDI KUTUAMBIA KUWA SHUGHULI NYINGI ZIMESIMAMA NCHINI HUKO KWA SABABU HALI YA RAISI HUYO WA ZAMANI HAIELEWEKI TENA
\
TUUNGANE NA WANANCHI WOTW WA BONDENI KUMWOMBEA RAISI HUYO AREJEE KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.