.

HIVI NDIVYO MWILI WA MAREHEMU NGWAIR ULIVYOPOKELEWA HUKO MOROGORO NYUMBANI KWAO!


Polisi walitanda barabarani kiusalama zaidi

 
UMATI WA WATU WAKIWA NYUMBANI KWA MANGWEA.
 
ASKARI AKIONGOZA MSAFARA ULIOBEBA MWILI WA MANGEA MIKESE MKOANI MOROGORO  AMBAPO ULIPOKELEWA NA WASAN
II WA FANI MBALIMBALI WAKATI UKITOKEA DAR ES SALAAM
 
 MASHABIKI WA NGWEA WAKIWA WANAKIMBIA SAMBAMBA NA GARI LILILOBEBA MWILI WA NGWEA MIKESE.
 
 MSAFARA WA MAGARI BARABARAN ENEO LA MKAMBARANI ULIKUWA HIVI.
 HAPA MKAMBARANI, KULIA NI BASI LA BM LIKIVURUGA MSAFARA HUO.
 
MASHABIKI WA MANGWEA WAKIWA KATIKA KANDO YA BARABARA KATIKA MZUNGUKO WA MSAMVU MOROGORO WAKATI MSAFARA UKIELEKEA NYUMBANI KWA MANGWEA KIHONDA.
 
 MAPOKEZI YA MWILI WA NGWEA ENEO LA MAZIMBU ROAD KIHONDA.
BASI LA ABOOS AMBALO LILIWABEBA WASANII WA FANI MBALIMBALI, HAPA LIKIWA MIKESE WAKISUBIRINA  MSAFARA WA ULIOBEBA MWILI WA MANGWEA.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.