Tuesday, June 25, 2013

MAAJABU NIGERIA----JAMAA AKUTWA NA KIWILIWILI CHA BINADAMU NYUMBANI KWAKE

HUWA TUNAPOSEMA DUNIA INAKWISHA NDO MAMBO KAMA HAYA SASA EMBU TIZAMA MWANADAMU HUYU KWA UNYAMA HUU ANAISHI NA MWILI WA MWENZAKE NDANI BILA WATU KUJUA NI KWANINI ANAFANYA HIVI

NIMEONA NI VIZURI TUKIONA WOTE ILI TUJIFUNZE JAMBO JAMANI HII IMETOKEA HUKO NIGERIA HIVI KARIBUNI

NAWASILISHA

No comments: