Tuesday, June 25, 2013

TETESI----MBUNGE SUGU AKAMATWA KWA KUMTUKANA WAZIRI MKUU




                MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI AU SUGU INASEMEKANA KUWA LEO MIDA HII AMEKAMATWA NA POLISI NA KUWEKWA NDANI KWA KILI KINACHODAIWA KUWA NI KUMTUKANA WAZIRI MKUU MH MIZENGO PINDA

KATIKA UKURASA WAKE WA FB MH SUGU ALIANDIKA HIVI

.joseph mlinyi

Tanzania haijapata kuwa na waziri mkuu mpumbavu kama mizengo pinda...alichokifanya ni kutangaza rasmi vita kati ya serikali ya ccm na raia wa tanzania...!!

KITU AMBACHO KIMEFANYA SERIKALI KUMTAFUTA SANA .LAKINI BAADA YA MANENO MENGI MH SUGU ALIANDIKA UJUMBE MWINGINE AKISEMA KUWA \

joseph mbilinyi

      naskia kuwa watu wanasema kwamba eti nimefuta kauli yangu kuhusu waziri mkuu na amri yake kwa polisi kupiga wananchi?!...sina sababu ya kufuta wala kuomba radhi, na nasimamia kauli yangu to the end...kwanza 'upumbavu' sio tusi,upumbavu kwa kiingereza ni stupidity-which is lack of knowledge and understanding...so hata uwe na cheo gani kama ukishindwa kuwa na 'understanding' juu ya madhara ya kauli zako kwa taifa then u r 'stupid'...ambapo kwa kiswahili ndio 'mpumbavu'...
  
HADI BLOG YAKO INAANDIKA HABARI HII BADO HATUJAFAHAMU KAMA AMEACHILIWA KWA DHAMANA AU BADO
TUTAZIDI KUWAJUZA KINACHOENDELEA


No comments: