Wafanyabiashara wa magazeti jijini Dar eneo la POsta mpya wakiwa wamerejea eneo hilo mbali ya kufukuzwa na mgambo wa jiji kutokana na zoezi la kusafisha jiji hilo ili kujiandaa kwa ujio wa Rais wa Marekan Barack Obama ,biashara zote eneo hilo zimepigwa marufuku na maeneo mengine ambayo msafara wa Obama utapita |
No comments:
Post a Comment