.

HUYU NDIYE MFANYA BIASHARA MAARUFU ARUSHA ERASTO MSUYA ALIVYYEPIGWA RISASI LEO,.samahani kwa picha hii RIP ERASTO MSUYA

MAREHEMU ERASTO


           HABARI AMBAZO ZIMETAWALA ARUSHA NA MAENEO YOTE YA KASKAZINI KIFO CHA MFANYA BIASHARA MAARUFU WA MADINI BW ERASTO  MSUYA AMBAYE AMEPIGWA RISASI LEO KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIA NA WATU AMBAO BADO HAWAJAFAHAMIKA 
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.