BREAKING NEWZZ-----STORY YA SHEHE PONDA KUPIGWA RISASI MUDA HUU HII HAPA


KUMEKUWA NA HABARI KUWA JESHI LA POLISI MKOANI MOROGORO LIMEMPIGA RISASI SHEHE PONDA AMBAPO KAMANDA WA POLISI MKOANI HUMO KAMANDA FAUSTINE SHILOGILE AMESEMA NI KWELI JESHI HILO LINAMSAKA PONDA NA WALIKWENDA KUMKAMATA NA AKATOWEKA HIVYO HAWAJUI KAMA YUPO HAI AU LA


HABARI KUTOKA KWA WANANCHI WA MKOANI HUMO ZINASEMA KUWA SHEHE ISA PONDA AMEPIGWA RIISASI MUDA MCHACHE ULIOPITA NA JESHI HILO NA HALI YAKE NI MBAYA SANA,BADO TUNAZIDI KUFWATILIA KWA UKARIBU TAARIFA HIZI TUTAWAJUZA.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.