.

SIMBA DAY YANOGA-----SIMBA YAUA 4-1 TAIFA,SIMBA

MSHAMBULIAJI MPYA WA SIMBA ALIYESAJILIWA KUTOKA MAREKANI MOMBEKI AMBAYE ALIKUWA SHUJAA LEO

          CLUB YA SIMBA LEO IMEFANYA MAUAJI KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUIZAMISHA SPORT CLUB VILLA YA UGANDA KWA MAGOLI MANNE KWA MOJA KATIKA MCHEZO WA KUSHEREKEA SIKU YA SIMBA DAY AMBAYO SIMBA HUITUMIA SIKU HIYO KUTAMBULISHA KIKOSI CHAKE KIPYA KWA MASHABIKI WAKE

                KATIKA MCHEZO HUO AMBAO SIMBA IMEONYESHA KIWANGO CHA JUU SANA MSHAMBULIAJI MAKINI ALIYESAJILIWA KUTOKA MAREKANI MOMBEKI NDIYE ALIYEKUWA SHUJAA BAADA YA KUPACHIKA MAGOLI MAWILI KATIKA MCHEZO HUO 

TAARIFA ZAIDI ZITAKUJIA

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.