HAWA NDIO WASICHANA WAWILI WALIOMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR JUZI         KAMA ULISIKIA HILI SAKATA NI KWAMBA WASICHANA WAWILI WALIMWAGIWA TINDIKALI JUZI VISIWANI ZANZIBAR WAKIWA WANATEMBEA BARABARANI JIONI BILA KUFAHAMIKA NI KINA NANI WALIOFANYA KITENDO HICHO

         GAZETI MOJA NCHINI UINGEREZA LIMERIPOTI KUWA WASICHANA AMBAO NI WALIMU WA KUJITOLEA VISIWANI HUMO WALIMWAGIWA TINDIKALI HIYO BAADA YA KUINGIA KWENYE UGOMVI NA MUUZA DUKA MMOJA SIKU KADHAA KABLA YA TUKIO HILO

             WASICHANA HAO AMBAO MMOJA ALIKUWA AMEADHIRIKA SANA ENEO LA USONI  NA MWINGINE ENEO LA MKONO NA MGONGONI INASEMEKANA MAMA YAO ALIKASIRIKA NA KUWATAKA WATOKE KATIKA HOSPITALI WALIYOKUWEPO YA AGHAKANI WAREJEE NCHINI KWAO KWA AJILI YA MATIBABU ZAIDI

HABARI ZAIDI ZINASEMA KUWA JAMBO HILO LIMEKWISHAFANYIKA

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.