HENRY KILEO AFANYA MKUTANO WAKE WA KWANZA TANGU ATOKE JELA,AWALIZA WAKAZI WA DAR KWA KUELEZEA ALIYOYAONA JELA         MME WA MTANGAZAJI WA TV JOYSE KIRIA BW KAMANDA HENRY KILEO AMEJIKUTA AKIWATOA WAKAZI WA DAR ES SALAAM MACHOZI LEO ALIPOKUWA AKIFANYA MKUTANO WAKE WA KWANZA TANGU ATOKE JELA ALIKOKUWA ANASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA UGAIDI AMBAZO MAHAKA ILIZIFUTILIA MBALI TUHUMA HIZO NA KUMWACHIA HURU

          AKIHUTUBIA LEO KATIKA VIWANJA VYA SAHARA MABIBO JIJINI DAR ES SALAAM MWANAHARAKATI HUYO ALIKUTA AKIWAHUTUBIA WATU WAKILIA BAADA YA KUTOA SIMULIZI KALI JINSI YEYE ALIVYOKAMATWA NA KUWEKWA NDANI BILA MAKOSA NA PIA JINSI WATU WANAVYOTESEKA JELA BILA MAKOSA YA AINA YOYOTE

           KATIKA MKUTANO HUO MGENI RASMI ALIKUWA MBUNGE WA UBUNGO MH JOHN MNYIKA.

picha kwa udhamini wa udaku specially blog

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.