.

KIBWAGIZO---MJINI KUNA MAMBO---- GARI YA SERIKASLI YAPIGWA JEKI POSTA KISA IMEPAKI KIMAKOSA

                           KATIKA KILE AMBACHO KIMEONEKANA KUTIMIZA ULE MSEMO KUWA SHERIA NI MSUMENO UNAKATA PANDE ZOTE GARI YA SERIKALI AMBAYO ILIKUWA IMEPAKI KATIKATI YA JIJI POSTA BILA KUJUA KUWA SEHEMU ILIYOPAKI SIO HUSIKA ILIJIKUTA IKIPIGWA JEKI NA ASKARI WA JIJI KWA KUSHIRIKIANA NA TRAFIC ALIYEFIKA MAENEO HAYO NA GARI HIYO NAMBA STK 7891 ILIBEBWA HADI KITUO CHA POLISI


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.