.

TAARIFA MUHIMU KWA WAISLAM WA DAR ES SALAAM,TAFADHALI SOMA

       

              BARAZA KUU LA WAISLAM TANZANIA (BAKWATA) MKOA WA DAR ES SALAAM WANAWAALIKA WAISLAM WOTE WA MKOA WA DAR ES SALAAM KUSWALI SWALA YA IDIL FITR KWA PAMOJA INSHALAAH SIKU YA ALHAMIC TAREHE 08 NA IJUMAA TAREHE 09 KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA INATEGEMEA NA MWANDAMO WA MWEZI  TUTASALI NA VIONGOZI MBALIMBALI KUTOKA NGAZI MBALIMBALI

                    PIA SIKU YA IDD PILI KWA KUSHIRIKIANA NA SWAUTUM NAQIY GROUP WAISLAAM WOTE WANAALIKWA KUMIMINIKA KATIKA SHEREHE ZA IDD ZA KIISLAM SAMBAMBA NA UZINDUZI WA ALBAM YA AMANI KUANZIA SAA NANE MCHANA MPAKA SAA 12 JIONI HAPO HAPO KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA.

                                     UJUMBE WA IDD MWAKA KUU

         USTAWI WA JAMII YOYOTE UNATEGEMEA UTULIVU NA AMANI


EID MUBAARAK


SHEIKH ALHAD M. SALUM
SHK WA KOA WA DAR ES SALAAM

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.