POLISI WASEMA WAMEKASIRIKA KUHUSU TINDIKALI.KOVA ATANGAZA DAU LA MILLION 100 KWA YEYOTE ATAKAYELETA TAARIFA ZA WAHUSIKA

KAMISHNA KOVA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 JESHI LA POLISI KANDA MAALUM LIMETANGAZA ZAWADI NONO YA SHILINGI MILIONI 100 KWA MTU YEYOTE ATAKAYE FANIKISHA KUKAMATWA KWA MTU YOYOTE ANAYEJIHUSISHA NA MATUMIZI MABAYA YA TINDIKALI AMA ALIYEWAMWAGIA WATU TINDIKALI KATIKA MAENEO MABLIMBALI YA TANZANIA

AKITANGAZA OFA HIYO KAMISHNA WA PILISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM SULEMAN KOVA AMESEMA KUWA TATIZO HILO LIMEKUWA KUBWA SANA HADI AMEKASIRIKA NA SASA VINAFANYIKA VITENDO KUHAKIKISHA WATU WOTE WANAOJIHUSISHA NA MCHEZO HUO HARAMU WANATIWA MBATONI

AMESEMA KUWA MYU YEYOTE MWENYE TAARIFA KUHUSU MTU YOYOTE ANAYEJUHUSISHA NA UNYAMA HUO WA KUMWAGIA WATU TINDIKALI ATOE TAARIFA KWAKE KWA SIRI NA SIRI HIYO ITATUNZWA NA YEYE ATAKABIDHIWA MILION 100 PAPO HAPO
BAADHI YA MITUNGI YA GEESI AMBAYO IMEKAMATWA MAENEO YA KINONDONI AMBAYO MAJAMBAZI HUITUMIA KUVUNJIA MAKUFULI
                AIDHA KATIKA HATUA NYINGINE KAMISHANA KOVA AMESEMA KUWA KIPINDI CHA SIKUKUU HAKUNA TUKIO LOLOTE LILILOJITOKEZA LA UVUNJIVU WA AMANI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM HALI AMBAYO AMESEMA KUWA NI KITENDO CHA KUWAPONGEZA POLISI NA WANANCHI KWA KUDUMISHA AMANI KIPINDI HICHO

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.