Thursday, August 15, 2013

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUTUMIA MIFUKO YA PLASTIC TANZANIA,UKIKUTWA USILAUMU

WAZIRI WA NCHI MAKAMU WA RAISI MAZINGIRA AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI MAPEMA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
        SERIALI YA TANZANIA KUPITIA WAZIRI WA NCHI MAKAMU WA RAISI MAZINGIRA KUHUSU IMEPIGA MARUFUKU UINGIZAJI,UTENGENEZAJI,NA USAMBAZAJI PAMOJA NA MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIC AMBAYO HAIOZI KUTOKANA NA KUGUNDUA KUWA MIFUKO HIYO INA MADHARA MAKUBWA SANA KATIKA MAZINGIRA NA AFYA ZA WANANCHI

           AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM WAZIRI WA WIZARA HIYO MH TEREZYA HUVISA AMESEMA KUWA KUTOKANA NA MIFUKO HIYO AMBAYO WANANCHI WAMEKUWA WAKIITUMIA SANA KATIKA KUBEBEA BIDHAA KUONGEZEKA SANA NA KULETA MADHARA SASA NI MARUFUKU KUTUMIA MIFUKO HIYO.

           AMESEMA KUWA MOJA YA MADHARA YA MIFUKO HIYO NI UHARIBIFU WA UDONGO,UNAOTOKANA NA KUTUPWA OVYO KWA MIFUKO HIYO,PAMOJA NA GESI ZA SUMU ZINAZOTOKANA NA MIFUKO HIYO.

            AMESEMA KUWA PAMOJA NA KUWA KUNA VIWANDA AMBAVYO VINATENGENEZA MIFUKO HIYO NI MARUFUKU KWA SASA NA KAMA MTU ATAKAIDI TAMKO HILO HATUA KALI ZITACHUKULIWA HUKU AKITOA MUDA WA MIEZI MITANO KWA ZOEZI HILO KUTEKELEZWA MARA MOJA

AMEONGEZA KUWA TATIZO LA KUINGIZA MIFUKO KINYEMELA HAPA NCHINI LIMEKUWA KUBWA NA KUTOKANA NA SERIKALI KURUHUSU ILE MIFUKO AMBAYO HAIOZI

No comments: