WAKATI MATOKEO YA UCHAGUZI ZIMBABWE HAYAJATOKA JUKWAA LA KATIBA TANZANIA LATOA YALIYOTOKEA KULE

KIONGOZI WAMSAFARA WA WA WAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA JUKWAA LA KATIBA BI ASHA MZEE PAMOJA NA MJUMBE MWINGINE HEBRON MWAKAGENDA WAKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JIJINI DAR


       JUKWAA LA KATIBA TANZANIA LMETOA MAONI YAKE JUU YA UCHAAGUZI WA URAISINCHINI ZIMBABWE AMBAPO WAMEELEZA KUWA UCHAGUZI HUO UMEKUWA WA AMANI UKILINGANISHA NA CHAGUZI ZILIZOPITA

          AKIZUNGUMZA NA WAAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM KIONGOZI WA MSAFARA WA WAANGALIZI KUTOKA JUKWAA LA KATIBA NCHINI NI SHA ABDUL MZEE AMESEMA KUWA UCHAGUZI ULIOFANYIKA NCHINI ZIMBABWE UMEKUWA WA AMANI LAKINI BADO WANA MASHAKA NA HAKI KUTENDEKA

        KATIKA UCHAGUZI HUO AMBAO BADO MATOKEO HAYAJATANGAZWA LAKINI TAYARI  RAISI MUGABE AMETANGAZA KUWA ANA UHAKKIKA AMESHINDA HUKU MPINZANI WAKE MORGAN  AKISEMA KUWA UCHAGUZI HUO NI KAMA KICHEKESHO

          JUKWA LA KATIBA WALITUMA WAANGALIZI WAKE KUTIZAMA MWENENDO WA UCHAGUZI HUO IKIWA NDIO UCHAGUZI WA KWANZA KWA NCHI HIYO TANGU IPATE KATIBA MPYA AMBAPO IMEONEKANA KUSAIDIA KWA KIWANGO FULANI TOFAUTI NA ILIVYOKUWA HAPO ZAMANI

         WAMESEMA KUWA KUNA CHANGAMOTO NYINGI SANA ZILIONEKANA KATIKA UCHAGUZI HUO IKIWEMO KWA ASKARI KUPIGA KURA,NA WATU ZAIDI YA MIA 7 KUKOSA NAFASI YA KUPIGA KURA KUTOKANA NA SABABU MBALIMBALI IKIWEMO DAFTARI LA WAPIGA KURA.

AIDHA JUKWAA LA KATIBA WAMEISHAURI SERIKALI KUJIFUNZA KUTOKA UCHAGUZI HUO HUSUSANI SWALA LA KATIBA KWANI BADO ZOEZI HILO LINAKWENDA HARAKA SANA NA LINABEBWA NA WANASIASA NA KUSHINDWA KUWASIKILIZA WANANCHI AMBAO NDIO WENYE KATIBA YAO.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.