TETESI---RONADO MBIONI KUSAIN MAN UNITED

HABARI AMBAZO ZINASUBIRIWA KWA HAMU KUBWA SANA NA WAPENZI WA MPIRA DUNIANI NI KUHUSU MCHEZAJI WA REAL MADRID CHRISTIAN RONADO AMBAYE INAAMINIKA KUWA HIVI SASA TOKA JANA YUPO KATIKA MAZUNGUMZO MAKALI NA CLUB YAKE YA ZAMANI MAN UNITED ILI AWEZE KUREJEA MSIMU HUU

HABARI AMBAZO BLOG YETU IMEZIPATA ASUBUH HII NI KUWA REAL MADRID SASA IMEKUBALI KUMUUZA MCHEZAJI HUYO KWA CLUB YOYOTE INAKAYOFIKA DAU ILI WAFANIKIWE KUMNASA MSHAMBULIAJI WA TOTONHAM BALLE

TETESI ZINAZID KUELEZA KUWA MAZUNGUMZO KATI YA RONADO NA MAN UNITED YANAELEZWA KUWA YANAENDA VIZURI NA MUDA WOWOTE NA SAA YOYOTE TAMKO RASIMI LITATOKA KUHUSU MCHEZAJI HUYO KUREJEA KATIKA CLUB YAKE YA ZAMANI

IKUMBUKWE KUWA KAMA RONADO ATACHEZA MADRID MSIMU HUU BASI ATAONDOKA KAMA MCHEZAJI HURU MSIMU UJAO KWA MKATABA WAKE UTAKUWA UMEMALIZIKA HIVYO MADRID WANAFANY HIVYO ILI KUPATA PESA Z A KUMUUZA YEYE.

TUTAZID KUPEANA HABARI

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.