Wednesday, September 18, 2013

MCT YAAHIDI MAKUBWA KWA BLOGERS TANZANIA

MMILIKI WA BLOG YA FAZA KIDEVU AKIWA ANATOA MAONI YAKE KATIKA SEMINA HIYO YA SIKU MBILI
           Baraza la habari tanzania MCT leo katika semina ya waandishi wa mitandaoni tanzania limewaahidi kuanza kuwafikiria jinsi ya kuwajumuisha katika kundi la waandishi wa habari tanzania.katika semina hiyo mwakilishi wa MCT amewaambia waandishi hao kuwa MCT inafikiria kuwa tayari kufanya nao kazi ikiwemo kuwajumuisha katika tuzo za waandishi wa habari tanzania.
MWAKILISHI WA KAJUBI MUKAJANGA KUTOKA MCT AKIZUNGUMZA NA WANDISHI HAO WA HABARI TANZANIA
      Nao baadhi ya waandishi wa habari wa blog tanzania wameishukuru serikali kupitia tcra kwa semina hiyo ambayo imewapa hari ya kutambua kuwa nao kazi zao zinatambuliwa
TUNASIKILIZA KWA MAKINI


BAADA YA SEMINA HIYO WAMILIKI HAO WAMEPATA NMAFASI YA KUTUNUKIWA VYETI KAMA ISHARA YA USHIRIKI WAO KATIKA SEMINA HIYO NA HIKI NI CHETI CHA MKURUGENZI MTENDAJI WA BLIG HII EXAUD MTEI AMBAYE NAYE ALIKUWA MMOJA KATI YA WASHIRIKI

No comments: