Wednesday, September 11, 2013

USHIRIKIANO WA TANZANIA NA SUNDELAND WAKUA KWA KASI

              Ushirikiano mzuri ulioanzishw natanzania na sundeland leo umeendelea kudumishwa baada ya clab hiy kuahidi kujenga uwanja wa michezo jijini dar katika eneo la kidongoo chekundu.
GARRY HUTCHINSON AMBAYE NI  MKURUGENZI WA BIASHARA WA CLUB YA SUNDELAND AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARIMAPEMA LEO JIJINI DAR ES SALAAM 


MKURUGENZI HUYO KUTOKA SUNDELND AKIMKABIDHI ALOYSE NYUKI AMBAYE NI MKURUGENZI MTENDAJI W BODI YA UTALII TANZANIA JEZI YA TIMU YAKE KWA ISHARA YA USHIRIKIANO MWEMA JEZI HIYO IMESAINIWA NA WACHEZAJI WA SUNDELAND

No comments: