Thursday, September 12, 2013

YULE DADA WA BENK KUU ALIYESHINDA NYUMBA YA AIRTEL HUYU HAPA SASA.

AFISA HABARI WA KAMPUNI YA AIRTEL AKIWA NA MSHINDI WA NYUMBA YA PILI YA AIRTEL ANNA LYIMO
            Kampuni ya airtel leo imemtambulisha kwa wanahabi mshindi wa pili wa nyumba ya miliki nyumba yako ambaye ni anna lyimo ambaye ni mfanyakazi wa benk kuu ya tanzania .
  
          Akizungumza na wanahabri anna amesema kuwa lengo lake lilikuwa ni kumiliki nyumba yake na sasa kampuni ya airtel imefanikisha ndoto zake hizo za muda mrefi huku akiwataka watanzania kuamini kuwa wanaweza kushinda nyumba moja iliyobaki


AKIKABIDHIWA CHETI CHAKE



DADA ANNA LYIMO AKIONYESHA CHETI CHAKE KUWA YEYE NDIYE MSHINDI WA NYUMBA YA PILI YA AIRTEL

DADA ANNA LYIMO AKIWA NA BAADHI YA NDUGU ZAKE WAKIWA KATIKA UTAMBULISHO MBELE YA WANAHABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

No comments: