KINGAMUZI CHA AZAM SASA KIPO TAYARI,KWA BEI YA KAWAIDA SANA ,SOMA ZAIDI HAPA

KINGAMUZI CHA AZAM AMBACHO SASA KINAINGIA SOKONI
          Kampuni ya azam media leo imetambulisha rasmi kungamuzi chake ambacho itakuwa inakitumia kurusha matangazo ya channel zake kwa waandishI wa habari jijini dar es salaam ambapo wanahabari wamepata nafasi ya kujua jinsi azam media inavyofanya kazi zake za urushaji wa matangazo

      Kingamuzi hicho ambacho kitauzwa kwa shiling elfu 95 kitakuwa na channel nyingi za njee na ndani ambapo channel za ndani nyingi zitakuwa za free,kwa mujibu wa azam media kingamuzi hicho kitaanza kufanya kazi rasmi mwishoni  mwa mwishoni mwa mwezi ujao kwa kurusha matangazo yake ya mpira ambayo kwa sasa wanashirikiana na TBC katika kuonyesha mpira.

TUNAFUNGUA KINGAMUZI
WAANDISHI WA HABARI WAKIPATA MAELEKEZO KUTOKA KWA LOTH MZIRAY AMBAYE NI MOJA YA WAFANYAKAZI WA AZAM TV

NDANI YA GARI LA KURUSHIA MATANGAZO YANI OB VAN

YAHYA MOHAMED AKITOA MAELEKEZO JUU YA UFANYAJI KAZI WA GARI HILO
GARI LA KURUSHIA MATANGAZO LA AZAM MEDIA

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.