.

KUWA WA KWANZA KUONA KILICHOJIRI KATIKA GRADUATION YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARY BENJAMIN MKAPA JIJINI DAR ES SAALAM

NI KATIKA GRADUATION YA KIDATO CHA NNE KATIKA SHULE YA SECONDARY BENJAMIN MKAPA JIJINI DAR ES SALAAM MUDA MFUPI ULIOPITA

FASSION SHOW NDIO ILIKUWA BURUDANI KUBWA KATIKA SHEREHE HIZO HUKU WANAFUNZI HAO WAKIONEKANA KUIWEZEA SANA FANI HIYO


BAADHI YA WANAFUNZI WALIOHITIMU KIDATO CHA NNE BENJAMINI MKAPA SECMGENI RASMI AMBAYE NI NAIBU MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM BI SARAH YOHANA AKITOA HOTUBA YAKE KATIKA MAHAFALI HAYO AMBAYO AMEWATAKA WANAFUNZI HAO KUSOMA KWA MAKINI KWANI KUHITIMU KUDATO CHA NNE SIO MWISHO WA ELIMU KUNA SAFARI NDEFU YA KUSOGEA MBELE ,HUKU AKIWATAKA WAZAZI KUWATILIA MKAZO WATOTO WAO JUU YA UMUHIMU WA ELIMU NA FAIDA ZAKE

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.