.

MANISPAA YA ILALA YAELEZEA MAFANIKIO YAKE KIAFYA

AFISA MAHUSIANO WA MANISPAA YA ILALA BI TABU SHAIBU AKIZUNGUMZA NA WANAHABI JIJINI DAR ES SALAAM JUU YA MAFANIKIO YA MANISPAA HIYO
      Halimashauri ya maniispaa ya ilala imeelezea mafanikio yake kiafya kuanzia mwaka 2010 hadi 2013 ambapo imeonekana kupiga hatua kubwa sana katika maendeleo ya kiafya

        Akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam afisa uhusiano manispaa ya ilala TABU SHAIBU amesema kuwa katika mafanikio hayo manispaa ya ilala imefanikiwa katika meneo yafuatayo

1-Zahanati zimeongezeka kutoka 17 hadi 25
2-Idadi ya watumishi imeongezeka kutoka 1006 hadi 1312
3-Kupandisha hadihi zahanati mbili (chanika na pugu) kuwa vituo vya afya
4-Ujenzi wa jengo la kuhifadhi chanjo -buguruni
5-Ujenzi wa jengo la huduma za ukimwi (center of excelence katika hospital ya mnazi mmoja

Aidha tabu amesema kuwa mafanikio yake hayo ni matokeo ua ushirikiano na wadau mbalimbali .

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.