MAANDALIZI YA UHURU MARATHON YAFIKIA PATAMU

HAPA AKIONYESHA MFANO WA FORM ZA USHIRIKI AMBAPO AMEWATAKA WATANZANIA KUJITOKEZA KWA WINGI KUCHUKUA FORM
             Kamati ya maandalizi ya mbio za UHURU MARATHON leo imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa usajili kwa ajili ya mbio hizo katika mkoa wa dar es salaam ambapo kuna vituo zaidi ya 13 vilivyofunguliwa katika maeneo mbalmbali jijini.

            Akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam mratibu wa mbio hizo bw  INNOCENT MELLECK amesema kuwa lengo kubwa la mbio hizo ni kudumisha umoja,amani mionggoni mwa watanzania ambazo zinatarajiwa kufanyika jijini dar es salaam hapo desember 8 mwaka huu ambapo zitaanza na kumalizika katika viwanza vya leaders.

             Anasema kuwa utoaji wa form za usajli pia utaendelea hadi viwanja vya bunge ambapo siku ya jumanne na jumatano wabunge wakiongozwa na mama ANNA MAKINDA watapata nafasi ya kujisajilikwa ajili ya mbio hizo.


MRATIBU WA MBIO HIZO INNOCENT MELECK AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI
form hizo zitauzwa kama ifuatavyo

kilometa 3--100,000
km 5--2000
km 21-42 wao watalipa 6000

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.