WAKAZI WA KINONDONI WAPEWA WITO HUU

AFISAUHUSIANO WA MANISPAA YA KINONDONI SEBASTIAN MHOWERA AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
            Wakazi wanaoishi katika wilaiya ya kinondoni wametakiwa kujenga utamaduni wa kushiriki katika vikao na shughuli za maendeleo na za kiserikali ili kuongeza kasi ya mafanikio yaliyopo na kuimarisha umoja na mshikamano katika kukabiliiana na changamoto na kero zilizopo katika maeneo yaona kusaidia kutengenezaa mfumo mzuri na unaofaa katika kuendesha halmashauri kwa pamoja

            Hayo yamesemwa leo jijini dar es salaam na afisa uhusiano manispaa ya kinondoni  SEBASTIAN MHOWERA wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam juu ya mambo mbalimbali yanayohusu manispaa hiyo

                Amesema kuwa witohuo unatokana na ukweli kuwa wakazi wa mjini wamekuwa wazito sana kushiriki katika vikao kama hivyo jambo ambalo amsema kuwa linachangia kurudisha maendeleo nyumapamoja na shughuli za kiserikali kutokwenda kama ilivyotakiwa

SAMAHANI KWA PICHA YENYE MUONO HAFIFU

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.