.

SERIKALI YATANGAZA RASMI KUWATAMBUA WAGANGA WA TIBA ASILI

             
WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII MH HUSEIN MWINYI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI PAMOJA NA WAGANGA WA TIBA ASILI  LEO JIJI DAR ES SALAAM
            Waziri wa afya na ustawai wa jamii mh HUSSEIN MWINYI leo ametoa msimamo wa serikali kuhusu waganga wa tiba asili nchini ambao wameonekana kushamiri kwa kasi kipindi hiki ambapo waziri amesema kuwa serikali inawatambua kwa asilimia kubwa na inadhamini mchango wao katika kutibu afya za watanzania 

           Akizungumza na wanahabrio leo jijini dar es salaam amesema kuwa wagamga wa tiba asili nchi wana mchamngo mkubwa sana nchini hivyo lazima serikali iwasaidie kwa hali na mali ili waweze kuwasaidia watanzania huku akiwabeza madactari ambao wamekuwa wakisema kuwa tiba hiyo sio ya kweli kwa kusema kuwa yeye ni dactari na anachokijua kuwa dawa zote ni mitishamba hivyo haoni ajabu wa waganga hao kutumia miti shamba

           Aidha amewaomba waganga hao kuacha kujihusisha na mambo ya kishirikina jambo ambalo litajenga imani zaidi kwa watanzania waliowengi juu ya tiba yao tofauti na sasa ambapo amesema kuwa kuna wachache wanaharibu tasnia hiyo kwa kujihusishja na ushirikina

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.