.

WATANZANIA 1,263 WAREJESHWA NCHINI BAADA YA KUZAMIA MATAIFA MENGINE

             Serikali imekiri kuwa pamoja na kuendesha zoezi la wananchi wanaoishi tanzania bila kibali yani wahamiaji haramu kuendelea lakini bado wapo watanzania wengi ambao wananishi katika nchi nyingine ambao nao ni wahamiaji haramu na zoezi la kuwarudisha nchini linaendelea

       Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam kaimu msemaji wa idara ya uhamiaji tanzania bw MBARAKA HAJI BATENGA amesema kuwa kwa kipindi cha mwaka 2012 jumla ya watanzania 1,263 walirejeshwa nchini kutoka mataifa mbalimbali.

          Aidha katika kipindi cha january -august mwaka 2013 jumla ya watanzania 715 wamerejeshwa nchini kwa makosa ya kukiuka taratibu za uhamiaji katika nchi walizokwenda hususani africa kusini.
 
KAIMU MSEMAJI WA IDARA YA UHAMIAJI TANZANIA MBARAKA BATENGA AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
BAADHI YA WANAHARI WA MTANZANIA WAKISIKILIZA KWA MAKINI KATIKA MKUTANO HUO

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.