Tuesday, November 19, 2013

BREAKING NEWZ,MTU MMOJA AMEFARIKI AKIGOMBANIA DALADALA HAPA ILALA MUDA HUU,CHEKI PICHA






         Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika, amefariki dunia baada ya kuteleza na kuanguka wakati alipokua akijaribu kudandia Daladala maeneo ya Ilala Boma, Jijini Dar es Salaam, asubuhi leo. Marehemu huyo baada ya kuanguka na kupiga kichwa kwenye lami, alipasuka kichwa na kuvuja damu nyingi kichwani, na kufariki katika

No comments: