Tuesday, November 5, 2013

HABARI ZA MSIBA: BAHATI BUKUKU AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

 

          Msanii wa nyimbo za injili, Bahati Bukuku amefiwa baba yake mzazi Mzee Paul Bukuku baada kuugua kwa muda mrefu. Marehemu amefia katika Hospitali ya Kardinali iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam na msiba upo nyumbani kwa Bahati maeneo ya Tabata, jijini Dar es Salaam

No comments: