Thursday, November 7, 2013

KAMPENI YA KUHAMASISHA UKLIPAJI WA KODI YAZINDULIWA DAR,LIPUMBA ATOA NENO,ALIA NA MISAMAHA YA KODI

UZINDUZI BHHUO ULIANZA KWA MAANDAMANAO MAKUBWA KWA WASHIRIKI KATIKA MKUTANO HUO AMBAO WENGI WALIKUWA NI WANANFUNZI WA SHULE ZA SECONDARY PAMOJA NA VYUO VYA JIJINI DAR ES SALAAM

       Shirika lisilo la kiserikali la ACTIONAID leo limezindua rasmi kampeni yake mpya ambayo imekwenda kwa jina la NGUVU YA KODI kampeni yenye lengo la kupunguza misamaha ya kodi katika serikali kwa lengo la kukuza kipato na pato la serikali kutokana na kodi za wannanchi wake

       Akizungumza katika uzinduzi huo mchumi maarufu profesa LIPUMBA ambaye pia ni mwanasiasa mkubwa sana nchini amesema kuwa tanzania imekuwa na tatizo kubwa sana la kusamehe kodi hasa katika secta makini kama za madini na maeneo mengine ya uwekezaji jambo ambalo amesema kuwa linachangia sana kushusha uchumi wa tanzania kwa kasi sana kutokana na wawekezaji kuvuna pesa nyingi sana nchini bila kuliopa kodi

PR LIPUMBA AMBAYE PIA ALIKUWEPO KUSHUGHUDIA TENDO HILO AKIZUNGUMZA NA WAANDUSHI WA HABARI NJE YA UKUMBI WA MKUTANO HUO
WASHIRIKI WAKISIKILIZA KWA MAKINI
         Profesa LIPYUMBA amesema kuwa lazima serikali iangalie ka umakini swala la misamaha ya kodi jambo kama kweli ina lengo la kukusana kodi kwa wingi katika nchi hii huku akiitaka serikali pia kujenga utamaduni wa kuwaelimisha wananchi wake juu ya umuhimu wa ulipaji wa kodi zake kwani bado uelewa kwa wananchi juu faida za kulipa kodi ni mdogo sana.
SASA TUNAKATA UTEPE KUASHIRIA KUWA TUMEZIBDUA RASMI KAMPENI HII



No comments: