Tuesday, January 21, 2014

BREAKING NEWZZ----- AJALI MBAYA!!!! SAMAHANI KWA PICHA KAMA UNA ROHO NYEPESI USIFUNGUE HAPA--- AJALI MKOANI LINDI BASI LAGONGANA NA ROLI KUMI WAFARIKI 28 MAHUTUTI HUKO I,.!CHEKI PICHA 5 ZA TUKIO HAPA

 


Miili ya waliopoteza maisha katika ajali hiyo ikipakiwa kwenye gari.

LEO majira ya saa nane alasiri Basi lenye lenye jiona maarufu kama ALLHAMDULILAH lilipata ajali mbaya huko makoani Lindi watu kumi walipoteza maisha papohapo na 28 mahututi wapo Hosptali ya mkoa wa lindi  sokoine,

         Chanzo cha habari kiliieleza HABARI24 BLOG  kwamba chanzo cha ajali hio ni baada ya Basi hilo kugongana na Roli la mizigo wakati basi hilo likitokea Dar kuelekea mtwara, 

            Likapoteza muelekeo na kupinduka mita kadhaa kutoka barabarani istoshe kulikuwa na utelezi mkali kutokana na mvua kubwa iliyonjesha mda mchache kabla ya ajali.-----PICHA NYINGINE HAPO CHINI----------









BAADHI ya miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo wakiwa mtaroni.. Kwakweli inasikitisha sana.
 

No comments: