Thursday, January 23, 2014

BREAKING NEWZZ --------KUTOKA SIMBA SC

Uongozi wa klabu ya Simba umempandisha cheo  aliyekuwa hafisa habari wa klabu hiyo Ezekiel Kamwaga na kuwa katibu mkuu mpya, Kamwaga anachukua nafasi ya Evodius Mtawala aliyepata ajira akiwa kama mkurugenzi wa kitengo cha wanachama na sheria pale TFF.

Klabu ya Simba pia imemteua mwandishi mkongwe wa habari za michezo Asha Muhaji kuwa hafisa habari mpya wa klabu hiyo.
Taarifa Zaidi endelea kufuatilia mtandao huu makini kabisa wa habari za michezo...

No comments: