Saturday, January 4, 2014

BREAKING NEWZZ---MBUNGE WA IRINGA PETER MSIGWA YUKO HOI HOSPITALINI AUGUA GHAFLA,CHEKI HAPA

Mbunge wa Iringa Mjini Kwa Tiketi ya CHADEMA Mh.Peter Msigwa(Mchungaji) amezidiwa ghafla na homa na kukimbizwa hospital,hali hiyo imetokea wkt wakiwa kwenye shughuli za kichama.madaktari wanamuhudumia vzr na anaendelea vyema sasa.

No comments: