Wednesday, January 22, 2014

HABARI MBAYA KWA WATANZANIA WOTE,MBUNGE WA CHALINZE AFARIKI DUNIA LEO R.I.P

.
     Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne S. Makinda (Mb), anasikitika kutoa taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Saidi Ramadhani Bwanamdogo
Kilichotokea leo Jumatano asubuhi tarehe 22.1.2014 Katika hospitali ya MOI DSM alipokuwa amelazwa kwa Matibabu. 
 
    Ofisi inaendelea na taratibu za mazishi  kwa kushirikiana na familia ya Marehemu.
Inna llilah Waina Illaih Rajiun!
SPIKA WA BUNGE,
22.01.2014.


No comments: