Friday, February 28, 2014

HABARI INAYOTIKISA TANZANIA MUDA HUU---BASI LIMEGONGA TRENI.WANNE WAFARIKI

        Habari Mbaya Zilizotufikia Hivi Punde,Basi la Bunda lagonga Treni na Kusababisha Vifo 

 
Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi hii
limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida. 
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka eneo la tukiokinasema kuwa watu wanne wamefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa.
Majeruhi Tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni

No comments: