YANAYOENDELEA DAR ES SALAAM MUDA HUU

BAADHI  YA WAANDISHI WA HABARI PAMOJA NA WATU MBALIMBALI KUTOKA MASHIRIKA MBALIMBALI WAKIWA KATIKA WARSHA HIYO AMBAYO INAENDELEA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA OFISI ZA TAMWA ILIYOANDALIWA NA SHIRIKA LA USULUHISHI LILILOPO CHINI YA TAMWA  HUKU MAFDA KUU IKIWA NI MASHARA YA POMBE NA JINSI INAVYOSABABISHA UKATILI WA KIJINSIA KATIKA FAMILIA
                   KITUO CHA USULUHISHI KILICHOPO NDANI YA CHAMA CHA WAANDISJISHI WA HABARI WANAWAKE TAMWA KIMEANDAA MAFUNZO KWA WADAU MBALIMBALI WA MASHIRIKA BINAFSI NA WAANDISHI WA HABARI
MRATIBU WA KITUO CHA USULUHISHI BI ELIZABETH MHANGWA AKITOA MOJA YA MADA ZAKE MUDA HUU

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.