.

KAMPENI ZA KALENGA NA MIZENGWE YAKE,DIWANI WA CCM AKUTWA NA BANGO LA CHADEMA

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Tanangozi, ikiwa ni sehemu ya kampeni za chama hicho za uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga

Moja ya mabasi yaliyokuwa yakisomba wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi, kutika sehemu mbalimbali likiwa njiani kueleka wafuasi hao katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho, katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa uliofanyika jana.

Diwani mstaafu kuoitia Chama Cha Mapinduzi tangu mwaka 1982, Thomas Masangula, akiwa ameshika bango lenye picha na mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakati wa mkutano wa kampeni za chama hicho, uliofanyika katika kijiji cha Kihanga

Mkazi wa kijiji cha Tosamaganga, akitembela njiani akiwa ameshikilia bango lenye picha ya mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Grace Tendega, kama alivyokutwa


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.